RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO

soma pia


RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa Musoma waliokusanyika katika viwanja vya Mukendo vilivyopo Musoma mjini kwa ajili ya kumsikiliza mara baada ya kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa, mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa AFD Stephanie Mouen wakanza kulia mwenye wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na usafi wa mazingira katika manispaa ya Musoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Stephanie Mouen mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Ufaransa AFD Agence Francaise De Development waliosaidia katika mradi huo wa maji Musoma mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya kutoka Mpakani mwa Simiyu/Mara na Musoma km 85.5.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia dawati ambalo alikuwa akilitumia kujisomea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika Shule ya Msingi Mwisenge Musoma. Hayati Mwalimu Nyerere alisoma shule hapo elimu ya Msingi tarehe 20/4/ 1934 hadi 1/10/1936.



Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO

yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-magufuli-azungumza-na-mamia-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MAMIA YA WANANCHI WA MUSOMA MKOANI MARA BAADA YA KUZINDUA MIRADI YA MAENDELEO MKOANI HUMO"

Post a Comment