title : RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA
kiungo : RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA
RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tarime mjini mara baada ya kuwasili akitokea katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Kwaya ya Chuo cha Ualimu Tarime ikitoa burudani mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Tarime mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wanakwaya ya Chuo cha Ualimu Tarime mara baada ya kuwasili katika eneo la mkutano Tarime mjini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tarime vijijini wakati akitokea katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi wa Tarime mjini mara bada ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mwanafunzi wa Shule ya Sekondary Ingwe iliyopo Nyamongo Wilayani Tarime Monica Benard kiasi cha Shilingi milioni tano kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya shule hiyo kutokana na vipaumbele vyao.
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Ingwe ya Nyamongo Tarime mkoani Mara Monica Benard akionesha kiasi cha Shilingi milioni tano alizokabidhiwa na Rais Dkt. John Magufuli kwa ajili ya maendeleo ya shule yao. Pia Rais Dkt. Magufuli aliendesha Harambee ya papo kwa hapo ambapo zilipatikana jumla ya Shilingi milioni 26 kwa ajili ya maendeleo ya Shule hiyo. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-magufuli-awahutubia-wananchi.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AWAHUTUBIA WANANCHI WA TARIME MKOANI MARA"
Post a Comment