RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA

RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA
kiungo : RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA

soma pia


RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA

  Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kwaajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo.Septemba 11,2018. 
Katibu wa Rais Ngusa Samike akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo mara baada ya kukabidhi fedha kiasi cha shilingi Milioni 40 kwa Mkuu wa kikosi cha 27KJ Luteni Kanali Js Mshashi kilichopo Makoko mkoani Mara. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliahidi kutoa fedha hizo Septemba 6,2018 alipokuwa ziara Mkoani humo kwaajili ya kuongeza Vizimba 10 vya kufugia Samaki.Makabidhiano hayo yamefanyika Jijini Dodoma mbele ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo.Septemba 11,2018.
PICHA NA IKULU


Hivyo makala RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA

yaani makala yote RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-dkt-john-magufuli-ametimiza-ahadi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AMETIMIZA AHADI ALIYOITOA JWTZ KWAAJILI YA UFUGAJI WA SAMAKI MKOANI MARA"

Post a Comment