title : Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
kiungo : Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Taifa Mama Samia Suluhu Hassan(katikati) Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula (kulia) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakiwa nje ya Ofisi ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salam baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jana,[Picha na Ikulu.] 29/09/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mama Samia Suluhu Hassan nje ya Ofisi ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salam baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,[Picha na Ikulu.] 29/09/2018.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula (kulia) nje ya Ofisi ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salam baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika jana,[Picha na Ikulu.] 29/09/2018.
Hivyo makala Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
yaani makala yote Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-dk-shein-ashiriki-kikao-cha-kamati.html
0 Response to "Rais Dk Shein ashiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa"
Post a Comment