RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI

RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI
kiungo : RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI

soma pia


RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Habari,Utalii na Mambo ya Kale,Uongozi wa Bodi ya Uwakala wa Uchapishaji wa Serikali na Wafanyakazi wa kiwanda cha Wakala wa Uchapaji ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo katika kuzungumzia mambo mballi mbali ya kiutendaji wa Kazi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara Habari,Utalii na Mambo ya Kale,Uongozi wa Bodi ya Uwakala wa Uchapishaji wa Serikali na Wafanyakazi wa kiwanda cha Wakala wa Uchapaji ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo katika kuzungumzia mambo mballi mbali ya kiutendaji wa Kazi
Viongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale,Uongozi wa Bodi ya Uwakala wa Uchapishaji wa Serikali na Wafanyakazi wa kiwanda cha Wakala wa Uchapaji wakiwa katika kikao cha siku moja chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi katika Uongozi wa Wizara Habari,Utalii na Mambo ya Kale,Uongozi wa Bodi ya Uwakala wa Uchapishaji wa Serikali na Wafanyakazi wa kiwanda cha Wakala wa Uchapaji pamoja na Viongozi wengine wakiwa katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mfanyakazi wa Kiwanda cha Wakala wa Uchapaji wa Serikali Jamal Khamis Juma alipokuwa akichangia katika kikao cha siku moja cha Uongozi wa Kiwanda hicho kilichofanyika leo Ikulu Mjini Zanzibar chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),katika mkutano ulijumuisha Uongozi wa Wizara Habari,Utalii na Mambo ya Kale,Uongozi wa Bodi ya Uwakala wa Uchapishaji wa Serikali na Wafanyakazi wa kiwanda cha Wakala wa Uchapaji.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati pichani) akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Uchapaji wa Serikali Nd,Perera Ame Silima wakati wa kikao cha Uongozi wa Wizara Habari,Utalii na Mambo ya Kale,Uongozi wa Bodi ya Uwakala wa Uchapishaji wa Serikali na Wafanyakazi wa kiwanda cha Uchapaji ulipokutana na Rais, leo katika Ukumbi wa Ikulu MJini Zanzibar,
Picha na Ikulu.


Hivyo makala RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI

yaani makala yote RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/rais-azungumza-na-uongozi-wa-wakala-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WAKALA WA UCHAPAJI"

Post a Comment