title : QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO
kiungo : QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO
QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO
Pichani kulia Katibu Mkuu UWT ,Queen Mlozi akimuombea kura Mgombea wa Udiwani kwa tiketi ya ccm katika kata ya kizota mkoani Dodoma ndugu Jamal Paul. Katika Kampeni hizo Ndugu Mlozi amewaomba wakazi wa kata hiyo kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi wakati wa kupiga kura na kumchagua kiongozi atakae wafaa na kuwaletea maendeleo ya kweli na si maneno matupu.
katibu Mkuu Uwt Queen Mlozi akiagana na Mbunge wa Dodoma Mjini Mh Antony Mavunde mara baada ya Mkutano wa kumnadi mgombea wa udiwani kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi (CCM) katika kata ya kizota,uliofanyika jana.
Hivyo makala QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO
yaani makala yote QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/queen-mlozi-awaomba-wapiga-kura.html
0 Response to "QUEEN MLOZI AWAOMBA WAPIGA KURA KUCHAGUA VIONGOZI WATAKAOWALETEA MAENDELEO"
Post a Comment