Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu

Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu
kiungo : Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu

soma pia


Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu



 Image result for NEMBO ZA TIMU YA MTIBWASUGAR

Na Tuzo Mapunda
Mwamba wa habari
KLABU ya Mtibwa imelitaka  Shirikisho la soka la mpira wa miguu Tff,Kuacha kubweteka  na badala yake watafute mdhamini  mkuu wa  kusimamia  Ligi kuu Tanzania Bara.
Ligi hiyo kwa sasa haina mdhamini mkuu baada ya kujitoa  Vodacom  aliyekuwa mdhamini  mkuu wa ligi hiyo kwa misimu  iliyopita.

Akizungumza na mwambawahabari.blogspot.com  ,Ofisa habari wa klabu hiyo Thobias Kifaru alisema  mdhamini mkuu anasaidia  kutoa baadhi ya gharama na hiyo kuipa uhuru timu kujiendesha .

“TFF ,isipo chukua hatua za haraka itafikia kipindi timu zitashindwa  kusafirisha  kikosi kutokana na kukumbwa na ukata.” Alisema  Kifaru.

Alisema kwa sasa ligi inaonekana kuwa na ushindani lakini itafika katikati ya msimu ushindani utapungua na kuzipa  nafasi timu zenye uwezo kuendelea kupata matokeo.

Kifaru alisema ukweli ni kwamba klabu zetu hapa mchini bado hazijafanya uwekezaji mkubwa na zimekuwa zikimtegemea ,mdhamini mkuu kwa kiasi kikubwa.

Alisema Mtibwa wana bajeti ya miaka 10 hivyo kwa upande wao hawana hofu na kukosekana kwa mdhamini mkuu na wataendelea kupambana kwa nguvu moja ili kuchukua taji la ligi hiyo.

Ligi  kuu msimu huu inashirikisha timu 20 tofauti na msimu uliopita ilikuwa inashirikisha timu 16,kitendo cha kukosekana mdhamini huyo nikuzifanya  baadhi ya timu kuwa kwenye wakati mgumu  hasa kwenye kuwalipa mshara wa chezaji na kuendesha timu.


Hivyo makala Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu

yaani makala yote Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mtibwa-tfftafuteni-mdhamini-mkuu_22.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mtibwa Tff,tafuteni mdhamini mkuu"

Post a Comment