Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable

Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable
kiungo : Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable

soma pia


Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable

Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Utangazaji Zanzibar, Ali Khatib Chwaya,akieleza machache juu Kampuni ya Pemba Cable ilivyokuwa na matatizo na kufikia Bodi kutowa maagizo .
Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar, Omar Said Ameir, akizungumza na wadau wa Pemba Cable, Wadau , watendaji na Mmiliki wa Kampuni hiyo juu Tume hiyo kuridhika kwake na utekelezaji wa magizo ya Tume kwa Mmiliki huyo.

Mmiliki wa Kampuni ya Pemba Cable, Abdalla Mbarouk Ali, akizungumza na Wateja wake huko katika ukumbi wa Wizara ya habari Pemba , juu ya tatizo lililojitokeza kwa chombo chake na kukosekana kwa baadhi yahuduma mbele ya Mrajis wa Tume ya Utangazaji .
Picha na Bakari Mussa -Pemba.


Hivyo makala Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable

yaani makala yote Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mrajisi-wa-tume-ya-utangazaji-zanzibar.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mrajisi wa Tume ya Utangazaji Zanzibar (ZBC) Azungumza na Mmiliki wa Pemba Cable"

Post a Comment