title : Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani
kiungo : Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani
Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani
MJASIARIAMALI Nathoo Abdullkarim Nathoo akiwaonesha Viongozi wa Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, wakiongozwa na Afisa Mdhamini Wizara hiyo Fatma Hamad Rajab na Afisa Mipango Omar Juma Ali, jinsi gani anavyofanya kazi zake kwa kutumia dhana za kizamani, wakati akichapisha fulana kwa kutumia kibao alichotengeneza mwenyewe.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
AFISA Mdhamini Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Fatma Hamad Rajab akiangalia utendaji wa kazi wa utengenezaji wa nembo na kudizaini vitu mbali mbali, kwa kutumia Komputa kutoka kwa mjasiriamali Nathoo Abdullkarim Nathoo wa Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
Hivyo makala Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani
yaani makala yote Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mjasiriamali-chakechake-aonyesha.html
0 Response to "Mjasiriamali Chakechake aonyesha ubunifu akitumia zana za kizamani"
Post a Comment