MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI

MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI
kiungo : MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI

soma pia


MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii

NI pigo!Ndivyo unavyoweza kuelezea taarifa za kufariki dunia kwa Mhadhiri wa  Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM),Dk.Misanya Dismas Bingi.

Dk.Misanya ambaye pia amewahi kuwa mtangazaji maarufu nchini  wa Radio One na ITV amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Taarifa hizo za kusikitisha zinaeleza kwamba Dk.Misanya Bingi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.Alifikishwa Hospitali ya Taifa Muhimbili  baada ya kupata ugonjwa wa kupooza(stroke) na kupelekwa katika chumba cha Uangalizi maalum (ICU).

Kwa sasa msiba upo eneo la Makongo Juu jijini Dar es Salaam wakati taratibu nyingine zikiendelea.Michuzi Blog itaendelea kukujuza kila kinachoendelea kuhusu msiba huo.

Pia Michuzi Blog inaungana na Watanzania wote kutoa pole kwa familia,ndugu,jamaa na marafiki kutokana na msiba huo mzito wa kuondokewa na mendwa wao Dk.Misanya Bingi.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-AMEN.


Hivyo makala MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI

yaani makala yote MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mhadhiri-chuo-kikuu-cha-dar-es-salaam.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MHADHIRI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM DK.MISANYA BINGI AFARIKI DUNIA AKIPATIWA MATIBABU HOSPITALI YA MUHIMBILI"

Post a Comment