title : MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI
kiungo : MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI
MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI
Straika mwenye balaa la hatari kutoka Argentina na klabu ya FC. Barcelona, Lionel Messi, amesema tatizo moja ambalo limekuwa linamsumbua ni upigaji penati.
Nyota huyo ameeleza kuwa katika msimu huu atajaribu kulifanyia kazi zaidi ili kujiweka fiti kutokana na kushindwa kulitumia vema na ipasavyo tofauti na akipiga mipira ya Free KIKI ama Faulo.
Messi ambaye hakufanya vema na timu ya taifa lake la Argentina katika michuano ya Kombe la Dunia huko Urusi 2018, anaamini atajirekebisha na kuwa sawa ili kuendana na kasi aliyonayo sehemu zingine.
Mpaka sasa Messi amefanikiwa kuingoza Barcelona kushinda mechi zake tatu za mwanzo ambapo timu hiyo ina alama 9 ikiwa kileleni mwa ligi
Hivyo makala MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI
yaani makala yote MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/messi-afunguka-kinachomsibu-uwanjani.html
0 Response to "MESSI AFUNGUKA KINACHOMSIBU UWANJANI"
Post a Comment