title : MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO
kiungo : MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO
MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO
Waombolezaji wakiandamana kutangulia mbele wakati mwili wa Marehemu John Guninita ulipokuwa ukipelekwa eneo la kusaliwa wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jana, Ifakara wilayani Kilombero.
Waombolezaji Wakilia kwa uchungu wakati wa mazishi ya marehemu John Guninita.
Vijana wa Umoja wa Vijana wa CCM wakibeba jeneza lenye mwili wa marehemu John Guninita kulipeleka kwenye eneo la kusaliwa wakati wa mazishi hayo.
Hivyo makala MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO
yaani makala yote MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mazishi-ya-john-guninita-ifakara.html
0 Response to "MAZISHI YA JOHN GUNINITA IFAKARA WILAYANI KOLOMBELO"
Post a Comment