title : MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4
kiungo : MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4
MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emanuel Maganga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma tayari kwa ziara ya kikazi ya siku 4. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na vijana wa Skauti mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku 4.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma vikitoa burudani wakati wa mapokezi mara baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku 4. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/makamu-wa-rais-awasili-mkoani-kigoma.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI KIGOMA TAYARI KWA ZIARA YA SIKU 4"
Post a Comment