title : Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara
kiungo : Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara
Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara
Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Ndanda dhidi ya mabingwa watetezi Simba umemalizika kwa suluhu ya bila kufungana.Hii ni mara ya kwanza kwa klabu ya Ndanda kupata pointi moja dhidi ya Simba kwani tangu ipande daraja misimu minne iliyopita haikuwa imewahi kushinda wala kupata sare dhidi ya Simba.
Licha ya kumiliki mpira kwa muda mwingi washambuliaji wa Simba John Bocco, Meddie Kagere na Emmanuel Okwi hawakufanikiwa kuipenya ngome ya Ndanda iliyotumia wachezaji wote 10 katika kujilinda.
Matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;
Hivyo makala Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara
yaani makala yote Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/mabingwa-wa-tanzania-simba-sports-club.html
0 Response to "Mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club Yalizumishwa Sare na Timu ya Ndanda FC Mchezo wa Ligi ya Tanzania Bara"
Post a Comment