title : CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO.
kiungo : CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO.
CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO.
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Kampeni za udiwani kata ya Vingunguti leo zimefikia mwisho ambapo katibu wa NEC itikadi na uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Hamphrey Polepole amewataka wananchi wa kata hiyo kujitokeza kwa wingi keshojumapili kumpigia kura Mgombea wa CCM, Omary Said Kumbilamoto.
"Watu wenye akili zao vijana na kama Kumbilamoto na akinamama mtatiro wameona Mazuri ya CCM na kuamua kumuunga mkono Rais, nami na waaomba kesho siku ya jumapili tarehe16/2018 wakazi wa Vingunguti mpigieni kura Omary Said Kumbilamoto mapematu tuwetumeshinda Jina lake kwenye karatasi litakuwa nambambili"amesema
Viongozi wengine waliomwombea kura Kumbilamoto ni pamoja na mbunge wa Ilala Musa Azan Zungu , Bonna Kaluwa, wa Segerea, Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM mkoa wa Dar es salaam Frank Kamugisha na Julius Mtatiro aliyejiunga na CCM akitokea CUF na Wenyeviti saba wa Mitaa ya kata hiyo.
Katika hatua nyingine Diwani wa kata ya Buguruni kwa mnyamani Shukuru Dege leo amejivua uanchama wa Chama cha wananchi CUF na kujiunga na CCM, ambapo amesema ameamua kujiunga na CCM kwa kuwa CUF imepoteza mwelekeo na pia ameamua kuunga mkono serikali ya awamu ya tano.
Pamoja na hayo Mgombea wa kata hiyo Omary Said Kumbilamoto amesema amefurahishwa na wananchi wa kata hiyo kwa kumuunga mkono na kuwaomba tena kesho kumpigia kura kwa wingi iliaendeleekuwatumikia akiwa CCM na kuwaletea maendeleo.
Hivyo makala CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO.
yaani makala yote CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/ccm-ya-fungal-kampeni-za-udiwani-kata.html
0 Response to "CCM YA FUNGAL KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI KWA KISHINDO, POLE POLE AWAAOMBA WANANCHI KUMPIGIA KURA MGOMBEA WA CCM OMARY KUMBILAMOTO."
Post a Comment