LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI.

LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI.
kiungo : LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI.

soma pia


LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI.

Utafiti iliyotolewa na kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) imebainisha kwamba kuna ongezeko kubwa la ukatili dhidi ya watoto kwa kipindi cha miezi sita ya kwanza katika mwaka 2018.

Ongezeko kubwa la matukio ya ubakaji wa watoto ni mara tatu zaidi ikilinganishwa na kipindi cha mwaka 2017, kutoka 12 kwa mwaka hadi 533 kwa mwaka 2018.

Hivyo ni wastani wa watoto 394 wamebakwa kila mwezi katika maeneo mbalimbali ya Tanzania bara kuanzia mwezi Januari hadi Juni 2018.

Fundikira Wazambi ambaye ni ni afisa programu msaidizi dawati la utafiti katika Kituo cha sheria na haki za binadamu akielezea hali ya ukatili ameeleza kwamba watoto waliobakwa ni asilimia 66 huku wanawake ni asilimia 34.

Hata hivyo ripoti hiyo imebainishwa kuna idadi kuwa wa watoto unyanyasaji  watoto.

Takwimu zinaonesha mara nyingi mbakaji ni mtu wa karibu wa familia ambaye anaweza kuwa mjomba, kaka wa shangazi hadi wafanya kazi wa Nyumbani.

Mtoto anadaiwa kuwa ni rahisi  kubakwa nyumbani zaidi ya sehemu yeyote ile.

Ndoa za utotoni na ukeketaji zimedaiwa kuwa changamoto kubwa kwa watoto.

Huku kwa upande wa wanawake, ukatili wa kimwili na ukatili wa kingono kuna wastani wa wanawake 203 wamebakwa  mwezi januari katika kipindi cha Januari hadi Julai mwaka huu.

Ukatili wa dhidi ya wanawake hadi kupelekea mauti hasa unasababishwa na wivu wa kimapenzi ,wengi huwa wanachomwa moto, kupigwa na vtu vyenye ncha kali na kuuwawa kikatili.

VITA VYA UTEKAJI TANZANIA.
Ripoti hiyo imeeleza pia kuwa kuna muonekano wa kuimarika kidogo kwa haki ya kuishi kwa mwaka 2018 ukilinganisha na mwaka jana.
Mauaji yanayotokana na imani za kishirikina yamepungua kutoka 172 hadi 106,ambapo watu 172 hadi 106 wanauwawa kutokana na imani za kishirikina,wakisemwa wachawi.
Na hakujaripotiwa matukio ya kuuwawa kwa walemavu wa ngozi ingawa bado wanaishi kwa hofu.


Hivyo makala LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI.

yaani makala yote LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/lhrc-watoto-394-hubakwa-kila-mwezi.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "LHRC: WATOTO 394 HUBAKWA KILA MWEZI."

Post a Comment