title : KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA
kiungo : KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA
KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA
Unakumbukwa kwa upendo wako wa dhati na Mke Wako Mpendwa RUTH NKIYA MGEJA, Wanao LOUIS MANGALA MGEJA, MUSSA MWANDU MGEJA, FRANK JOHN MGEJA, MARC MIPAWA MGEJA pamoja na EDGER NKONOKI MGEJA.
Unakumbukwa pia na Kaka, Dada pamoja na Ndugu na jamaa zako wote uliopata kuwa karibu nao katika uhai wako.
Upumzike kwa Amani Baba Yetu. Bado unaishi ndani ya mioyo yetu hata sasa.
Hivyo makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA
yaani makala yote KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kumbukumbu-ya-miaka-18-ya-kifo-cha.html
0 Response to "KUMBUKUMBU YA MIAKA 18 YA KIFO CHA MAREHEMU JOHN MGEJA"
Post a Comment