title : KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE.
kiungo : KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE.
KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE.
Mwambawahabari
Diwani wa kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto leo amekabidhi Printer Kwa Jeshi la Polis kikosi cha usalama barabarani wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani.
Akizungumza katika makabidhiadhiano hayo Kumbilamoto amesema, ameamua kutoa printer hiyo ili iweze kusaidia katika shughuli za ofisi hiyo na kuongeza kuwa aliinunua Dubai.
"Nilipata ajali mwanzoni mwaka huu wakati naenda kumzika Mama yangu kijini Kauzeni nikaenda katika kituo hicho niliona changamoto ya Printer na nilizungumza na askari wa hapa, wakati huo nilikuwa naibu Meya Manispaa ya Ilala, wakaniambia kuwa wanachangamoto hiyo, mimi sitajirisana bali ni moyotu umenituma kusaidia" alisema.
Amesema, Pamoja na kwamba katika ajali Ile Dereva wa pikipiki alikuwa na makosa aliamua kumnunulia Ile pikipiki na kukabidhi ikawa ya kwake na kumgharamia matibabu kuhudumiawananchi Familia yake hadi alipopona miguu ambao ulikuwa umevunjika.
Kumbilamoto ni diwani wa kata ya Vingunguti aliyechaguliwa kupitia chama cha Mapinduzi CCM baadaya kukihama chama cha wananchi CUF.
Hivyo makala KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE.
yaani makala yote KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kumbilamoto-awakabidhi-printer-polisi.html
0 Response to "KUMBILAMOTO AWAKABIDHI PRINTER POLISI TRAFFIC KISARAWE."
Post a Comment