title : Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa
kiungo : Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa
Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,Mhe.Raya Issa Msellem akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar kuhusiana na kukamilika Kwa matayarisho ya Mkutano wa 11 wa Baraza la Tisa, unaotarajiwa kufanyika wiki hii na kuwasilisha miswada ya Sheria Mitatu na kuwasilisha na Majibu 154 na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar.Miswada ya Sheria inayotarajiwa kuwasilishwa na Kusomwa Kwa mara ya Kwanza katika Mkutano wa mwezi wa Mei,2018 itakayosomwa katika Mkutano huu wa Kumi na Moja unaotarajiwa kufanyika tarehe19 September 2018.
i) Miswada wa Sheria Kuweka Masharti Bora ya Usimamizi wa Mahakama,Kufafanua Utumishi wa Mahakama,Kuazisha Ofisi za Mtendaji Mkuu wa Mahakama na Mrajis,Kuazisha Mfuko waMahakama na kuweka Mashartimengine yanayohusiana na hayo.
ii)Mswada wa Sheria ya Kuazisha Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Elimu na kuweka Masharti ya ukaguzi wa Elimu pamoja na Mambo mengine yanayohusiana na hayo.
iii) Mswada wa Sheria ya Kuazisha Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar na kuweka Masharti Bora yanayohusiana na kazi,uwezo,uongozi na Mambo mengine yanayohusiana na hayo.
Waandishi wa Habari wakifuatilia Mkutano huo.
Hivyo makala Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa
yaani makala yote Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/katibu-wa-baraza-la-wawakilishi.html
0 Response to "Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe.Raya Issa Msellem Azungumza na Waandishi wa Habari Zanzibar Kuhusiana na Mkutano wa 11 wa Baraza la Wawakilishi. la Tisa"
Post a Comment