KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE

KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE
kiungo : KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE

soma pia


KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE

SHINDANO la Ecobank Fintech Challenge lenye lengo la  kuonesha na kushirikiana na  miradi yenye mafanikio zaidi ya Fintech Katika bara zima la Afrika limemalizika huku Tanzania kupitia Kampuni ya Nala kupitia mradi wake wa Nala Money(Nala App) chini ya Mkurugenzi na mwanzilishi Benjamin Fernandes wakiibuka na kuwa washindi,

Shindano hilo limelenga  kusaidia kupitia ushirika wa kibiashara ili kukua na kujitanua kwenda kwenye mafanikio ya kikanda na biashara ya kimataifa.

Mradi wa malipo ujulikanao kama Nala hapa Tanzania umetajwa kuwa mshindi wa mwaka wa shindano hilo la Ecobank Fintech Challenge na kufanikiwa kuibuka na zawadi ya dola za kimarekani 10,000.

Nala inawasaidia watumiaji wa miamala ya simu kujihusisha na nakala za USSD kupitia njia rahisi kama vile Venmo app, iliyotoa ufumbuzi pamoja na miradi (startups) mingine ipatayo 10 katika sherehe za 30 agosti katika makao makuu ya kimataifa ya Ecobank huko Lome Togo.
Nigeria wallet, imekuwa ya pili na kujishindia dola za kimarekani 7,000 wakati Virtual Identity ya Afrika ya Kusini ilikuwa mshindi wa tatu na kupata dola za kimarekani 5,000. Washiriki wengine ni Lypa ya Kenya, Litee ya Benin, SESO Global ya Afrika ya Kusini, InvestED  ya Sierra Leone, Eversend ya Ufaransa, Seca pay ya Nigeria, Moji pay ya Togo na Awamo ya Uganda.

Ecobank itawaandikisha washindi wote 11 katika ushirika wake wa Fintech. Ushirika huu utadumu kwa kipindi ya miezi 6. Katika kipindi hicho miradi hiyo (startups) itanufaika kutoka kwenye fursa hiyo  kwenda kwenye hatua kubwa Zaidi ya ushirika na ecobank group.
Mkuu wa kitenge cha Masoko na Mawasiliano Ecobank Tanzania, Furaha Samalu(kushoto) akimpongeza Mkurugenzi na mwanzilishi wa Kampuni ya  Nala, Benjamin Fernandes baada ya kuibuka mshindi wa Tuzo ya Ecobank Fintech challenge.


Hivyo makala KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE

yaani makala yote KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/kampuni-ya-kitanzania-ya-nala-yashinda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMPUNI YA KITANZANIA YA NALA YASHINDA TUZO YA ECOBANK FINTECH CHALLENGE"

Post a Comment