JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU
kiungo : JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

soma pia


JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani
IDARA ya Uhamiaji, Mkoani Pwani imesema, jumla ya wahamiaji haramu 647 wamekamatwa kwa kuingia nchini kinyume na sheria, katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.
Aidha idara hiyo imetaja sababu kubwa inayosababisha wahamiaji hao, hasa wale wa nchi jirani kuingia nchini ni kutaka kutumia rasilimali za nchi na kupita kuelekea Afrika ya Kusini kutafuta maisha. 
Ofisa uhamiaji mkoa wa Pwani Naibu kamishna wa uhamiaji Plasid Mazengo aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari,ofisini kwake. Alieleza ,kipindi cha mwaka 2016 walikamatwa wahamiaji haramu 362,mwaka 2017 walikamatwa 194 na Januari hadi Juni mwaka huu walikamatwa 91.
Mazengo alisema ,katika kipindi cha mwaka 2016 waliofukuzwa walikuwa 237,mwaka 2017 walifukuzwa 38 na Januari hadi Juni walifukuzwa 30 jumla 305.
"Mwaka 2016 waliofikishwa mahakamani walikuwa 162 mwaka 2017 waliofikishwa mahakamani walikuwa 194 na Januari hadi Juni mwaka huu waliofikishwa mahakamani walikuwa 91".
Alibainisha ,wengi wanavutiwa na rasilimali zilizopo zikiwemo za uvuvi,maliasili na kilimo huku wengine wakiwa njiani kuelekea Kusini mwa Afrika kwa ajili ya kutafuta maisha hasa Wasomali na Waethiopia. 
Aidha Mazengo alibainisha, katika kipindi cha wiki mbili zilizopita walifanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 26 kwa tuhuma za kuingia nchini bila ya kibali.
Kwa mujibu wa Mazengo, kati ya waliokamatwa ni pamoja na Warundi wanane,Wasomali watatu,Waethiopia wanne, Wakongo wawili,Mnyarwanda mmoja na wengine ni wakimbizi watano wa familia moja waliokimbia kambini.
Idara hiyo inaendelea na taratibu za kuwachambua kila mmoja na kosa lake ili waweze kufikishwa mahakamani au kurudishwa nchini kwao,  kwani wapo wengine wanadai kuwa ni watanzania lakini hawana utambulisho  kuwa ni watanzania. Hata hivyo, siku chache zilizopita jeshi la polisi mkoani Pwani liliwapa salamu wale wanaojihusisha na biashara ya kuingiza nchini wahamiaji haramu. 

Lilisema endapo atakamatwa mtu yeyote ama chombo cha usafiri kikiwasafirisha basi atachunguzwa na kutaifishwa mali zake ama kukitaifisha chombo hicho cha usafiri. 
Ofisa uhamiaji mkoa wa Pwani Naibu kamishna wa uhamiaji Plasid Mazengo akionesha baadhi ya wahamiaji haramu kutoka Ethiopia waliokamatwa hivi karibuni.


Hivyo makala JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

yaani makala yote JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/jumla-ya-wahamiaji-haramu-647.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "JUMLA YA WAHAMIAJI HARAMU 647 WAMEKAMATWA MKOANI PWANI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU"

Post a Comment