DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO.

DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO.
kiungo : DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO.

soma pia


DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO.



Na John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema leo akiwa katika ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi Jimbo la Segerea,  ameahidi kujenga vyoo vitatu, Malumalu na mifuko 20 ya Cement katika Shule ya msingi Kinyerezi.

Akizungumza shuleni hapo DC Mjema amesema, amefanya ukaguzi nakugundua kuwa Kuna shule mbili zinatumia vyoo vichache vilivyopo jambo ambalo sisalama kwa Afya.

"Natoa vyoo vitano vitatu vya Wasichana na viwili kwa wavulana na baadaye nawe kuongeza lakini ngoja tuanze na hivi kwanza" alisema

Katika hatua nyingine DC Mjema ame kaguamradi wa kisima cha maji shuleni hapo na kuagiza ukamilike haraka na kuzuia maji hayo kuuzwa  bali ya we kwaajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo kuunganishwakatika vyoo ya shule.

" Haya maji ni ya bure asilimia 100% asiuziwe mtu , ni kwaajili ya wanafunzi wa hizi shule nisije kusikiliza kunamtu kaweka Bomba anauza" amesema.


Hivyo makala DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO.

yaani makala yote DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dcmjema-asaidia-shule-ya-msingi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DCMJEMA ASAIDIA SHULE YA MSINGI KINYEREZI, KUKABILIUHABA WA VYOO."

Post a Comment