title : DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI.
kiungo : DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI.
DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI.
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu Wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka Mgambo wanaosimamia zoezi la usafi kutoa elimu Kwa wananchi badala ya kutumia nguvu Kwa kuwapiga wananchi na kuwatoza faini.
Mjema ameyasema hayo Leo Jijini Dar es salaam alipokuwa ziarani kuzungumza na wananchi wakata za Kiwalani na Minazi mirefu baada ya wananchi wengi Wa kata hizo kuzungumzia changamoto ya mgambo kutumia nguvu Kubwa.
Aidha DC Mjema Wa amewataka watendaji Wa kata kufanya ukaguzi Wa usafi Katika nyumba za wananchi badala ya kuwaruhusu mgambo kutekeleza jukumu hilo ambalo ni lakitaalamu.
Katika hatua nyingine Mjema amemuagiza Mkurugenzi Wa taasisi ya kupambana na rushwa Takukuru wilaya ya Ilala kufuatiliamradi wa ujenzi wa maji uliopo kata ya kiwalani ili kujirizisha na tatizo la rushwa Kwa kuwa mradi huo umeshindwa kutekelezwa Kwa wakati kulingana na thamani ya fedha.
DC Mjema pia ametembelea mradi wa soko katika Kataya kiwalani na kuwataka wasimamizi Wa mradi huo kutekeleza mradi huo Kwa wakati.
Sanjari na hayo Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema amewataka wananchi wa kata ya kiwalani kuona umuhimu wa vikundi vya ulinzi shirikisho na kushirikiana nao ikiwemo kuwa wezesha kiuchumi kwa kulipamichango yao.
Akizungumza na wananchi wa kata hiyo DC Mjema amesema vijana hao wanafanya kazi nzuri kwa kwa kulinda watu na malizao wakati wengine wakiwa wa me lala.
Emmanuel Gabriel Mlaponi ni katibu wa vikundi vya ulinzi shirikishi amesema wananchi hawana mwaka wa kutoamalipo na kufafanuakuwa maliponi shilingi 1000 kilakaya kwa mwezi wanachangia 900,000 Kuna kaya 3490 kaya 1000 pekee ndo wameelewa wanachangia wengine bado hawa changii.
Hivyo makala DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI.
yaani makala yote DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-mjema-atoa-agizo-kwa-takukuru.html
0 Response to "DC MJEMA ATOA AGIZO KWA TAKUKURU KUCHUNGUZA MRADI WA MAJI, AONYA VIKALI MGAMBO WANAOPIGA WANANCHI KWA KISINGIZIO CHA USAFI."
Post a Comment