title : DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI.
kiungo : DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI.
DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI.
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema akiwa katika ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Kata za Kinyerezi na Bonyokwa, ametoa onyo Kali kwa watu wanaojihusisha na vitendo vya ujambazi na ukahaba na kuwataka kuacha maramoja.
Kauli hiyo ya DC Mjema imekuja mara baada ya wakazi wa maeneo hayo kutoa kero zao mbele yake wakimuomba awezekuwasaidia kwa kuwa vitendo vya ujambazi wa kutumia silaha vinaongezeka kila uchao.
"Mhe. DC hapakinyerezi ujambazi wa kutumia silaha umezidi tunaporwa utakuta mtu anavamia nyumba hata sehemu za biashara anakutolea silaha tena silahazingine za kivita sasa najiuliza silaha hizi wanatoa wapi? mimi wameniibia wamenirudisha nyuma Sana kibiashara naomba utusaidie" amesema mwananchi mmoja.
Aidha wananchi hao wameomba eneo la kana waruhisiwe kufanya biashara biasha na kuiomba SUMATRA iweke kituo cha daladala ili eneo hilo lichangamke kibiashara.
DC Mjema akiwa katika mkutano wake wake na wananchi eneo la Bonyokwa, ame pokea kero mbalibali, ikiwemo zahanati, barabara, Kituocha polisi, Soko na maji, nakutoa maelekezo kwa wataalamu kushughulikia kero hizo mara moja ili wananchi hao waondokane na adhahiyo.
"Naomba niseme mimi ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya sitakubali watu kukaakwahofu katika maeneo yao tuandikieni majina ya waharifu wote tutakuja kufanyaoperesheni kubwa mwezi Novemba na ninamwagiza RPC kulichuahilo baada ya Operesheni ya Ukonga tuna kuja hapa"amesema.
Pamoja na hayo pia DC Mjema ame mwagiza RPC kufuatilia nyumba ambayo imelalamikiwa kuwa Kuna endeshwa Danguro na mtu mmoja aliyetajwa kwa Jina la mwarabu katika eneo la Bonyokwa ilikukomesha biashara hiyo haramu pamoja na Dawa za kulevya .
Kwa upande wao wananchi wa Kinyerezi na Bonyokwa wamepongeza hatua ya DC Mjema kutembelea maeneo yao kuwa sikiliza na kutatua kero zao na kusema kuwa ikiwa viongozi wa Serikali watafanya hivyo nchi itapigahatua kubwa kimaendelo na kukuza uchumi.
Kwa upande wao wananchi wa Kinyerezi na Bonyokwa wamepongeza hatua ya DC Mjema kutembelea maeneo yao kuwa sikiliza na kutatua kero zao na kusema kuwa ikiwa viongozi wa Serikali watafanya hivyo nchi itapigahatua kubwa kimaendelo na kukuza uchumi.
Hivyo makala DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI.
yaani makala yote DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-mjema-aonya-ujambazi-wa-kutumia.html
0 Response to "DC. MJEMA AONYA UJAMBAZI WA KUTUMIA SILAHA KINYEREZI, ATANGAZA OPERESHENI KAMAMBE, ATOA MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI."
Post a Comment