title : DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA.
kiungo : DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA.
DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA.
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema, amekemea tabia ya ukahaba inayofanyika katika baa usiku na maeneo ya Makazi yaliyogezwa kuwa Mdanguro katika eneo la Buguruni.
DC Mjema ameyasemahayo katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza keroza wananchi uliofanyika buguruni na kusema kuwa Kunabaazinaenendesha biashara usiku kama night club huku hazina Leseni wala kibali cha kufanya biashara hiyo kinyume cha sheria.
"Ninazotaarifa katika maeneo haya watu wanauzamiili yao na wengine katika hizibaa wanachezeamaji muziki wakiwa utupu, tunatengenezewa Taifa gani namna hii? , nitasambaratisha wote acheni" alisema.
Aidha DC Mjema amemwagiza afisa biashara Manispaa ya Ilala kukagua Leseni za baa zote zinazofanya biashara usiku na zitakazobainika kufanya biashara usiku bila kuwa naleseni kutozwa faini na kufunga biashahizo.
"Wanatuharibia watoto kamatutayaacha haya Taifa hili halitapata wasomi na wataalam, Tanzania ya viwanda bila wataalam watu kutoka nje wataka kuchukua nafasi zetu maana watu wetu hawana elimu watabaki walevi tu kama kiongozi wa Wilaya hii siwezikukubalihili"
Pamoja na hayo DC Mjema amemwagiza Kamanda wa Polisi Wilya ya Ilala kufanya opereshenikubwa ya kushtukiza katika maeneo yote yanayo onekanakukithrikwa ukahaba ambapo Madada poa na Kaka poa wanajiuza, na katika baa ambazo wanacheze uchi usiku.
"RPC Maeneo haya yote tufanyeoperesheni haiwezekani mimi napigiwa simu hadi usiku kuhusu hili, mtummoja aliharibikiwa gari usiku eneo hili akanipigia simu anasema DC nimeshindwa hadi kutoka nje madada poa yamezunguka gari wataniuwa mkuu naomba msaada wa askari ndiyo Buguruni tulipofikia hapa? alihoji DC Mjema kwa uchungu.
Hivyo makala DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA.
yaani makala yote DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-mjema-amwagiza-rpc-kufanya-opesheni.html
0 Response to "DC MJEMA AMWAGIZA RPC KUFANYA OPESHENI KUBWA BURUGURUNI KUSAMBARATISHA MADANGURO YA MADADAPOA."
Post a Comment