title : DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU
kiungo : DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU
DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU
Mwambawahabari
Na John Luhende
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe.Sophia Mjema amekataa kupokea mradi wa ujenzi wa shule ya msingi Buguruni mtaa wa Faru na kuwataka watendaji na wananchi walioandaa mradi huo kuweka mchanganuo vizuri ikiwemo upatikanaji wa eneo la kutosha.
DC Sophia Mjema aliye vaakofia, akikagua ujenzi wa Kituocha Afya Buguruni kwa Myamani.
DC Mjema ameyasemahayo leo wakati waziara yake kutembelea jimbo la segerea kusikiliza na kutatua keroza wananchi ,ambapo amesema eneo hilo liko kwenye makazi ya wananchi na kwamba bado halijakidhi viwango na masharti ya kujengwa shule .
“Sijasema nimeukataa moja kwa moja mradi huu ila naomba kaene muwekemaelezo yenu vizuri tuone gharama za mradi mzimama kufidia hizo nyumba kumi mlizo sema eneo lipimwe kasha tujiridhishe hatakama mnajenga ghorofa eneo bado ni muhimu” alisema DC Mjema.
Kwaupande wake mtendaji wa mtaa huo Lucas Francis ,amemwambia mkuu wa Wilaya kuwa wananchi wa eneo hilo wanao uhitaji mkubwa wa shule nakwamba walikaa vikao na kupendekeza eneo hilo ambapo walikubalianabaadhi ya nyumba zitavunjwa na ilikupata eneokubwa zaidi.
“Mheshimiwa mkuu wa Wilaya wananchi walikaa vikao na kukubaliana kuwa kuna nyumba kumi zitavunjwa ili kuongeza eneo na mihutasari ipo pia mkurugenzi aliye pita alikuja alsha wahinkuja kuliona eneo hili na tulishauriana kujenga majengo ya ghorofa kutokana na ufinyu wa eneo’’alisema
Katika hatuanyingine DC Mjema amemwagiza mkurugezi kujenga wa Manispaa ya Ilala kujenga uzio wa shule ya Msingi Buguruni Kisiwani ilikuepuka mwigiliano wa wanafunzi na wananchi katika matumizi ya vyoo vya shule.
“Hivivyoo vimejengwa mbali na madarasa huku mtoto anaweza hata akapatwa natatizo lolote nawaomba muone namna ya kujenga uzio ilikuweka usalama kwa watoto na pia vinaweza kujaamapema kwani hata wananchi wanavitumia na huwezi kuvifunga kwamba kila mtoto anapotaka kujisaidia unampa funguo’’ alisema
DCmjema yukokatika mwendelezo wa ziarayake ya kutembelea kata za Wilaya Ilala kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia majawabu ambapo alianza jimbo la Ukonga na leo ameanza katika jimbo la Segerea
Hivyo makala DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU
yaani makala yote DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/dc-mjema-akataakupokea-mradi.html
0 Response to "DC MJEMA AKATAAKUPOKEA MRADI, ATAKAKUPEWA ANDIKO LA MRADI WA SHULE BUGURUNI MTAA WA FARU"
Post a Comment