CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE.

CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE.
kiungo : CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE.

soma pia


CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE.

Bendera ya Chama Cha Wananchi (CUF) ikipepea nusu mlingoti.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Chama Cha Wananchi (CUF) imewapa pole watanzania waliowapoteza ndugu, marafiki wa karibu katika ajili ya MV Nyerere iliyotokea Novemba 20 mwaka huu Mkoani Mwanza.

Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) Professa Ibrahim Lipumba amesema kuwa tanzania imepata mkubwa kwa kuwapoteza ndugu zetu.

Amesema kuwa ni majonzi kupoteza idadi kubwa ya watu katika ajali hiyo

"Taarifa za awali zinaonyesha chanzo cha ajali..Mv Nyerere ilibeba watu wengi tofauti na idadi iliyokusudiwa" amesema Profesa Lipumba.


Hivyo makala CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE.

yaani makala yote CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/cuf-yatoa-pole-msiba-mv-nyerere.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CUF YATOA POLE MSIBA MV NYERERE."

Post a Comment