CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA

CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA
kiungo : CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA

soma pia


CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA

 Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Fatma Toufiq (kulia) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (katikati) kwa lengo la kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, kikao kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwandishi Mwandamizi wa Taarifa Rasmi za Bunge, Ndg. Patson Sobha
 Wajumbe wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Fatma Toufiq (watatu kushoto) wakimsikiliza Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto) wakati wa kikao baina yao kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
 Wajumbe wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Fatma Toufiq (katikati) wakiwa katika mazungumzo na  Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (wa pili kushoto) wakati wa kikao baina yao kilicholenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi, kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu (kulia) akizungumza na Wanachama wa  Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki walioongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Fatma Toufiq (kushoto) katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kililenga kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi
Mjumbe wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki na Mbunge wa Chilonwa, Mhe. Joel Mwaka akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Mhe. Ali Davutoglu na Wanachama wa Chama cha Wabunge Marafiki wa Uturuki (hayupo kwenye picha) katika kikao kilichofanyika leo Bungeni Jijini Dodoma. Kikao hicho kilikuwa na lengo la kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)


Hivyo makala CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA

yaani makala yote CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/chama-cha-wabunge-marafiki-wa-uturuki.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CHAMA CHA WABUNGE MARAFIKI WA UTURUKI WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI TANZANIA, BUNGENI JIJINI DODOMA"

Post a Comment