CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI.

CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI. - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI.
kiungo : CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI.

soma pia


CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI.

Chama cha mpira wa tenisi cha wanawa(WTA) kimeunga mkono madai ya nyota wa mchezo huo Serena Williams kuwa amebaguliwa kijinsia.

Afisa Mtendaji Mkuu wa WTA Steve Simon amedai kuwa muamuzi wa fainali ya Jumamosi ameonesha kiwango kidogo cha ustahimilivu katika mzozo wake na Williams kuliko vile ambavyo angefanya laiti angellikwaruzana na mchezaji wa kiume.

Kwa mujibu wa BBC, Serena ameadhibiwa kwa kukiuka kanuni ya ukufunzi,kutoa matamshi ya matusi na kumuita muamuzi ''mwizi''baada ya kupoteza mchezo wa fainali ya Mashindano ya Wazi ya Marekani (US Open) dhidi ya Naomi Osaka wa Japan.

"WTA inaamini kuwa hakuna tofauti katika viwango vya uvumilivu vinavyostahili kuelekezwa kwa hisia zinazotolewa na mchezaji mwanamume au mwanamke,'' amesema Bw Simon katika taarifa yake na kuongeza kuwa haamini suala hilo lilizingatiwa katika uamuzi uliyofikiwa dhidi ya Williams.

Simmon pia metoa wito kwa wakufunzi kupewa nafasi katikati ya mchezo kuzungumza na wachezaji.

"WTA inaamini kuwa hakuna tofauti katika viwango vya uvumilivu vinavyostahili kuelekezwa kwa hisia zinazotolewa na mchezaji mwanamume au mwanamke,'' amesema Bw Simon katika taarifa yake na kuongeza kuwa haamini suala hilo lilizingatiwa katika uamuzi uliyofikiwa dhidi ya Williams.


Simmon pia metoa wito kwa wakufunzi kupewa nafasi katikati ya mchezo kuzungumza na wachezaji.

Mwamuzi Carlos Ramos alimuadhibu Williams baada ya kumuona mkufunzi wake Patrick Mouratoglou,akionyesha ishara ya mkono. Baadaye mkufunzi huyo raia wa Ufaransa alikiri kuwa alijaribu kumuelekeza mchezaji wake.

Mkuu wa shirikisho la mchezo wa Tennisi nchini Marekani (USTA) ,Katrina Adams ,amesema "Wachezaji wakiume wamekuwa wakiwakaripia waamuzi wakati wa kubadilishana upande kuchezea na hatuoni chochote kikitokea.".


Maoni hayo yanaungwa mkono na mwandishi wa mchezo wa Tennis wa BBC, Sue Barker, ambaye amesema: "Nimekaa mara kadha pembeni ya uwanja na kuwaona wachezaji wakiume wakirusha maneno makali kwa waamuzi na hawakuchukuliwa hatua zozote.''


Hivyo makala CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI.

yaani makala yote CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/09/chama-cha-tenesi-chapiga-vita-ubaguzi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "CHAMA CHA TENESI CHAPIGA VITA UBAGUZI."

Post a Comment