ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA

ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA
kiungo : ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA

soma pia


ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA

Mkuu wa wilaya ya Arusha, Bwana Gabriel Dapharo (kushoto) akimkabidhi msanii Vanessa Mdee (kulia) tuzo ya kumshukuru kutoka kwa Shule ya Arusha girls kwa msaada wake na kujitolea kwake kwenye hafla ya makabidhiano ambapo kampuni ya nishati ya jua ya Off Grid Electric kushirikiana na Vanessa Mdee wametoa msaada wa mitambo nane ya nishati ya jua kwa shule hiyo ili kuwasaidia wanafunzi hao kupata mwanga wa kuaminika wakati wa kujisomea nyakati za usiku.
Mkuu wa wilaya ya Arusha, Bwana Gabriel Dapharo (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya nishati ya jua ya Off Grid Electric nchini Tanzania, Erick Donasian (kulia) tuzo ya kumshukuru kutoka kwa Shule ya Arusha girls kwa msaada kwenye hafla ya makabidhiano ambapo Off Grid Electric kushirikiana na Vanessa Mdee wametoa msaada wa mitambo nane ya nishati ya jua kwa shule hiyo ili kuwasaidia wanafunzi hao kupata mwanga wa kuaminika wakati wa kujisomea nyakati za usiku.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya nishati ya jua ya Off Grid Electric nchini Tanzania, Erick Donasian (watatu kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa wilaya ya Arusha, Bwana Gabriel Dapharo (wa sita kulia), Mwalimu wa shule ya Arusha Girls, Mwasiti Kinyau (wa nane kulia), Msanii wa muziki Vanessa Mdee (watano kulia) na wanafunzi wa shule hiyo baada kampuni hiyo ya nishati ya jua kukabidhi mitambo nane kwa shule hiyo.

KAMPUNI ya nishati ya jua ya Off Grid Electric imetoa msaada wa mitambo nane ya ZOLA kwa shule ya Arusha Girls baada ya ombi kutoka kwa msaani maarufu Tanzania - Vanessa Mdee. 

Erick Donasian, Mkurugenzi Mtendaji wa Off Grid Electric nchini Tanzania alisema: "Tunalenga kutoa bidhaa na huduma za daraja la kwanza kwa wateja wetu kila siku, na pia kusaidia biashara na elimu nchini Tanzania. Kuthibitisha hili, tumeiongeza Arusha Girls school kwenye orodha ya shule 58 ambazo tumeziwezesha kufurahia mwanga wa kuaminika, salama, na huduma mashuhuri ambayo inapatikana pamoja na mitambo ya Off Grid Electric tu. Kupata fursa ya kuliwezesha ombi la Vanessa ilikua ni heshima na wajibu kwetu; tunafurahia kuchangia katika ustawi wa wanafunzi wa Arusha na Tanzania kwa ujumla."

Vanessa Mdee aliongezea kwa kusema “Kama balozi wa shule ya Arusha Girls, ni wajibu wangu kutoa kilicho bora kwa ajili ya ustawi wa wasichana pale ninapoweza. Waliponiomba kuwasaidia waweze kusoma bila usumbufu wa kukatikiwa na umeme nyakati za usiku, ilikuwa ni wajibu wangu kutafuta mtoa huduma ya nishati ya jua aliye tayari kulitatua tatizo lao. Ninajivunia kumpata Off Grid Electric ambae ni mshirika wa kuaminika katika mpango huu na pia ni mshirikia mwenye kujali ustawi wa elimu."

Wanafunzi wa Arusha Girls wanafurahia faida zote za huduma za Off Grid Electric ikiwa ni pamoja na chanzo cha mwanga wa kuaminika na wa muda mrefu zaidi wakati wa kujisomea nyakati za usiku.


Hivyo makala ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA

yaani makala yote ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/zola-yashirikiana-na-vanessa-mdee-kutoa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "ZOLA YASHIRIKIANA NA VANESSA MDEE KUTOA MSAADA SHULE YA WASICHANA YA ARUSHA"

Post a Comment