TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)

TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE), tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)
kiungo : TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)

soma pia


TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)

Na Bakari Madjeshi, Globu ya Jamii
TUZO mbalimbali za Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu wa 2017-2018 zimetolewa leo mjini Monaco nchini Ufaransa.

Katika tuzo hizo, Tuzo ya Golikipa Bora wa mwaka imekwenda kwa Kipa namba moja wa Real Madrid, Keylor Navas, kabla yakutolewa kwa Navas, tuzo hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Kipa wa Juventus anayechezea PSG kwa sasa, Gianluigi Buffon.

Nafasi ya Kiungo Bora, tuzo hiyo imenyakuliwa na Kiungo wa Kimataifa wa Croatia anayekipiga na Real Madrid, Luka Modrić.

Tuzo ya Mshambuliaji Bora imenyakuliwa na Mshambuliaji Matata wa Juventus aliyekuwa Real Madrid, Cristian Ronaldo.

Luka Modrić amewabwaga Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo na Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa mwaka wa UEFA.

Katika hafla hiyo, Nyota wa zamani wa Manchester United na Real Madrid ameshinda tuzo maalum ya Rais wa UEFA 2018. 

Katika sherehe hiyo, Makundi mbalimbali yamepangwa kwa timu mbalimbali 3kuchuana katika msimu ujao wa Michuano hiyo ya Ligi ya 

Mabingwa Ulaya:-
Group A: Atletico Madrid, Dortmund, Monaco, Club Brugge;
Group B: Barcelona, Tottenham, PSV, Inter Milan;
Group C: PSG, Napoli, Liverpool, Red Star Belgrade;
Group D: Lokomotiv Moscow, FC Porto, Schalke 04, Galatasaray;
Group E: Bayern Munich, Benfica, Ajax, AEK Athens;
Group F: Manchester City, Shakhtar Donetsk, Lyon, Hoffenheim;
Group G: Real Madrid, Roma, CSKA Moscow, Viktoria Plzen;
Group H: Juventus, Man United, Valencia, Young Boys

Michezo ya hatua ya Makundi itaanza kupigwa Septemba 18-19 hadi Desemba 11-12 ambapo timu mbili kila Kundi zitaingia hatua ya mtoano itakayoanza kutimua vumbi February 2019.


Hivyo makala TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)

yaani makala yote TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tuzo-zatolewamakundi-yapangwa-ligi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TUZO ZATOLEWA,MAKUNDI YAPANGWA LIGI YA MABINGWA ULAYA (UEFA CHAMPIONS LEAGUE)"

Post a Comment