title : Waziri Mwakyembe atembelea Global Group
kiungo : Waziri Mwakyembe atembelea Global Group
Waziri Mwakyembe atembelea Global Group

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakati Waziri alipotembelea ofisi za Global Group mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mhariri wa gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli (kushoto) akimuonesha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe wakati Waziri alipotembelea ofisi za gazeti hilo Global Publishers mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi (kushoto) akizungumza na wafanyakazi Global Group wakati Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe (katikati) alipotembelea ofisi za Global Group mapema hii leo jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdalah Mrisho.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Global Group wakati Waziri alipotembelea ofisi za Global Tv mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala Waziri Mwakyembe atembelea Global Group
yaani makala yote Waziri Mwakyembe atembelea Global Group Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mwakyembe atembelea Global Group mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-mwakyembe-atembelea-global-group.html
0 Response to "Waziri Mwakyembe atembelea Global Group"
Post a Comment