title : WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO
kiungo : WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO
WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam, jana kuwasilisha malalamiko mbalimbali ili wapate ufumbuzi wa kero zao. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza na baadhi ya wananchi waliofika Ofisi Ndogo ya wizara, jijini Dar es Salaam, jana kuwasilisha malalamiko mbalimbali ili wapate ufumbuzi wa kero zao. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi, Sheikh Issa, aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko yake juu ya ndugu yake kuuawa. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akimsikiliza mmoja wa wananchi, Martha Mtungi (wakwanza kulia), aliyefika ofisini kwa waziri, jijini Dar es Salaam, kuelezea malalamiko yake. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Hivyo makala WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO
yaani makala yote WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/waziri-lugola-akutana-na-baadhi-ya.html
0 Response to "WAZIRI LUGOLA AKUTANA NA BAADHI YA WANANCHI NA KUSIKILIZA KERO ZAO"
Post a Comment