WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO
kiungo : WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

soma pia


WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

 Watu wawili wakiwawamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kukutwa na nyara za serikali jijini Dar es Salaam leo. 
Watuhumiwa wakitoka katika mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam.

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.
WATU wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kukutwa na nyara za serikali ambazo ni pembe mbili tembo zenye thamani ya zaidi ya Sh. Milioni 34.

Akisoma hati ya mashtaka Wakili wa serikali, Mwanaamina Kombakono amewataja washtakiwa hao kuwa ni, Hassan Mgaza maarufu kama Dingi na Daud Aniset almaarufu Mwambambe.

Mbele ya Hakimu Mkazi  Mwandamizi Salum Ally, imedaiwa, Agosti 18.2018 katika eneo la ufukwe wa Bahati lililopo katika Wilaya ya Kinondoni, washtakiwa walikutwa na pembe mbili za meno ya tembo zenye thamani UA USD 15,000 ambazo ni sawa na Sh. 34,275,000.

Imedaiwa kuwa, nyara hizo ni mali ya serikali ambazo washtakiwa wanadaiwa kuwa nazo bila ya kuwa na kibali kutoka kwa mkurugenzi wa wanyamapori.
Hata hivyo, washtakiwa hawakutakiwa kujibu kitu chochote mahakamani hapo kwa kuwa, mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi za uhujumu uchumi ispokuwa kwa kibali kutoka kwa DPP.
Kwa mujibu wa upande wa mashtaka upelelezi katika kesi hiyo bado haujakamilika na imeahirishwa hadi Septemba 14.2018 itakapokuja kwa ajili ya kutajwa.


Hivyo makala WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO

yaani makala yote WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wawili-kizimbani-kwa-tuhuma-za-kukutwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "WAWILI KIZIMBANI KWA TUHUMA ZA KUKUTWA NA MENO YA TEMBO"

Post a Comment