Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo

Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo
kiungo : Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo

soma pia


Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo

Na Genofeva Matemu na Salome Majaliwa 

17/08/2018 Jumla ya wagonjwa 22 wenye matatizo ya moyo yatokanayo na mfumo wa umeme wa moyo usiofanya kazi sawasawa wamefanyiwa upasuaji mdogo na kuwekewa vifaa maalum vitakavyousaidia moyo kufanya kazi vizuri.

Matibabu hayo yamefanyika katika kambi maalum ya siku saba iliyofanyika katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa mgonjwa kufanyiwa upasuaji wa bila kufungua kifua (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab.

Akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Magonjwa ya moyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Moyo Peter Kisenge alisema kambi hiyo inafanywa na madaktari wa Taasisi ya Moyo kwa kushirikiana na wenzao wa nchini Marekani kutoka Shirika la Madaktari Afrika.

Dkt. Kisenge alisema kambi hiyo ni maalumu kwa ajili ya kuwasaidia wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo ambao mapigo yao yako chini kwa asilimia hamsini kwa dakika kwa kuwawekea kifaa maalum akinachosaidia mapigo ya moyo kuongezeka (Pacemaker).

“Kazi ya kifaa hiki maalum cha mfumo wa umeme wa moyo ni kuwasaidia wagonjwa wasipoteze maisha ghafla, kwani mara nyingi wagonjwa wenye matatizo ya mapigo ya moyo ambayo yako chini hufa vifo vya ghafla”, alisema Dkt. Kisenge.


Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiangalia jinsi mfumo wa umeme wa moyo wa mgonjwa unavyofanya kazi kabla ya kumwekea kifaa maalum cha kuusaidia moyo kufanya kazi vizuri (Implantable cardioverter defibrillator – ICD) katika kambi ya matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo. 
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) na wenzao wa Shirika la Madaktari Afrika la nchini Marekani wakiandaa vifaa vitakavyotumika katika upasuaji mdogo wa kumuwekea mgonjwa kifaa maalum cha kuusaidia moyo kufanya kazi vizuri (Implantable cardioverter defibrillator – ICD) katika kambi ya matibabu kwa wagonjwa wenye matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo. 


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>>



Hivyo makala Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo

yaani makala yote Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/madaktari-taasisi-ya-moyo-jakaya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Madaktari Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI), Afrika wa nchini Marekani washirikiana kutibu wagonjwa 22 kambi maalum magonjwa ya moyo"

Post a Comment