title : WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU.
kiungo : WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU.
WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU.
Wanajeshi 67 wa ngazi mbalimbali wamefukuzwa jeshini kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu. Kati yao, 10 ni maofisa wa ngazi za juu huku 57 wakiwa wanajeshi wa vyeo vya kawaida.
Msemaji wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF), Luteni Kanali, Innocent Munyengango alisema wanajeshi hao waliofukuzwa wanakabiliwa na tuhuma mbalimbali za utovu wa nidhamu.
“Kila mmoja ana tuhuma zake zinazomhusu, lakini zote zina utovu wa nidhamu,” alisema Munyengango Alisema hatua hiyo imechukuliwa kwa mujibu wa sheria za jeshi hilo na kupitishwa na Baraza la Mawaziri lililoongozwa na Rais Paul Kagame.
Kwa mujibu wa Sheria Namba 22/01 ya Oktoba 2, 2016 inaeleza kuwa, askari akifanya jambo lolote la kutia aibu au kudhalilisha, lisilokubalika kwa jamii au linalokwenda kinyume na taratibu za jeshi hilo anastahili kufukuzwa jeshini. Pia ikiwa mwanajeshi amehukumiwa kifungo cha miezi sita anatakiwa kuondolewa jeshini.chanzo:habari leo.
Hivyo makala WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU.
yaani makala yote WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/wanajeshi-67-watimuliwa-kazini-kwa.html
0 Response to "WANAJESHI 67 WATIMULIWA KAZINI KWA UTOVU WA NIDHAMU."
Post a Comment