VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO

VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO
kiungo : VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO

soma pia


VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limesema kuwa uchaguzi mkuu wa chama cha mchezo wa kuogelea Tanzania (TSA) ulienda vizuri ingawa kulikuwa na changamoto zilizojitokeza hapo awali.

Uchaguzi huo uliofanyika mapema wiki hii, uliweza kuwapata viongozi wapya watakaoongoza kwa kipindi cha miaka minne ambao wameapa tayari kwa ajili ya kuanza kutumikia nafasi zao kwa ajili ya maendeleo ya mchezo huo.

Akizungumzia uchaguzi huo Ofisa habari wa BMT Najaha Baklari amesema kuwa uchaguzi huo ulifanyika kwa amani kubwa sana ingawa awali kulitokea changamoto mbalimbali na Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi Juma Ikangaa aliweza kutoa rai kwa wagombea wote walioshinda nafasi zao wakazitumikie kwa ueweledi mkubwa ili kuleta manufaa kwa chama hicho, pia hata wale ambao hawakupata nafasi wae dele kuunga mkono.

Amesema kuwa  uchaguzi ulikuwa na ushindani mkubwa sana hususani katika nafasi za  Makamu Mwenyekiti  na Katibu Mkuu ambapo zilikuwa na wagombea zaidi ya mmoja na nafasi nyingine kuwa na mgombea mmoja mmoja lakini hakukuwa na wakati mgumu sana katika nafasi ya mwenyekiti, Mweka Hazina na Mkugenzi wa Elimu na Maendeleo ambazo  zilikuwa na mgombea mmoja mmoja.


Hivyo makala VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO

yaani makala yote VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/viongozi-wapya-wa-tsa-wataleta-maendeleo.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "VIONGOZI WAPYA WA TSA WATALETA MAENDELEO"

Post a Comment