title : "VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA
kiungo : "VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA
"VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA
Na. John Luhende
Mwambawahabari
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka wananchi na vijana wa Manispaa ya Ilala kujishughulisha na shughuli ndogondogo za kilimo ili kujikwamua kiuchumi na kuacha kukaa vijiweni bila kuwa na shughuli za kufanya.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Sophia Mjema amewataka wananchi na vijana wa Manispaa ya Ilala kujishughulisha na shughuli ndogondogo za kilimo ili kujikwamua kiuchumi na kuacha kukaa vijiweni bila kuwa na shughuli za kufanya.
DC Mjema Ameyasema hayo leo mjini Morogoro alipokuwa alipotembelea banda na shamba darasa la Manispaa hiyo katika viwanja vya nanenane na kusema kuwa biashara siyo kung'ania tu kuuza bidhaa au umachinga bali wa Angie pia kwa upande wa Kilimo.
"Manispaa ya Ilala maeneo bado tunayo nawaomba tu Vijana wajifunze katika vikundi waje tuwape maeneo tuko tayari kuwasaidia ili waweze na kazi za kufanya" alisema.
Aidha amewataka taalamu na washiriki wa maonesho hayo baada ya muda wa maonesho kuisha kuendana katika kata kutoa elimu ya kilimo kuwa fundisha wananchi ili waweze kuwa na vipando vya katika maeneo yao.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala Palela Msongela amesema Ilala imejiandaa kutoa elimu kwa wakulima kutumia Teknolojia mbalimbali wezesha katika uzalishaji wa mazao.
"Tunawaonesha Teknolojia ya kilimo kutumia eneo dogo kamaunavyoona hapa hiki ni kilimo cha mjini, lakini pia Teknolojia nyingine ni Umwagiliaji kwa kutumia maji taka kwa kuchakata ili yawe safi na ya tumika kwa umwagiliaji hii ni kuwapunguzia gharama Wakulima" alisema.
Amesema Manispaa inaendelea kuwapa fursa wakulima na Wajasiliamali kuonyesha kazi zao na bidhaa wanazozitengeneza katika Viwanda vyao vidovidogo na kuwawezesha Kusimama waownyeww katika biashara ya ushindani.
"Tumeona wanayo tengeneza mkaa mbadala kwa kutumia taka, mbolea kwa kutumia matunda yaliyooza na mabaki ya mazoez na jinsi ya kubadili maji taka kuwa safi na kufaa kwa kilimo" alisema na kuongeza.
Hivyo makala "VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA
yaani makala yote "VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala "VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/vijana-jishughulisheni-na-kilimo.html
0 Response to ""VIJANA JISHUGHULISHENI NA KILIMO MSING'ANG'ANIE UMACHINGA PEKEE" DC MJEMA"
Post a Comment