KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI

KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI
kiungo : KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI

soma pia


KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI


Kenya sasa inaweza kuuza maparachichi nchini Afrika Kusini. Nchi hiyo imefungua soko la matunda hayo lililolifungwa kwa takribani miaka 11 iliyopita.
Hatua hiyo, imetokana na mazungumzo yaliyofanywa na wawakilishi wa serikali za nchi hizo mbili wakiwemo mawaziri wanaohusika na kilimo na biashara.
Mamlaka ya udhibiti wa bidhaa nchini Afrika Kusini iliweka zuio la kufanyabiashara ya maparachichi na Kenya baada ya kugundulika kuwepo kwa mdudu anayejulikana kama Bactrocera Invadens).
Mdudu huyo anayeaminika kutokea katika nchi za Asia, alionekana kwa mara ya kwanza nchini Kenya mwaka 2003 na kusambaa na kuathiri mazao mengi ya matunda nchini humo.
Soko hilo jipya la maparachichi baina ya nchi hizo mbili, lilifunguliwa rasmi Julai 24, mwaka huu na mamlaka nchini Afrika Kusini kwa kuandika barua kwa Waziri wa Kilimo na Biashara nchini Kenya.
Mapema, katika jitihada za kufungua soko hilo Kenya ilitakiwa na Afrika Kusini kuitengeneza maeneo ya mashamba yasiyoathiriwa na wadudu na kuyatengeneza mazingira ya ubaridi.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Sera kutoka Wizara ya Kilimo, John Mwaniki Kenya ilibidi ikitane na mamlaka nchini Afrika Kusini kuzungumzia suala hilo la kufungua soko la maparachichi ambapo mazungumzo hayo yalifikia muafaka.


Hivyo makala KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI

yaani makala yote KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/kenya-kuuza-maparachichi-afrika-kusini.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "KENYA KUUZA MAPARACHICHI AFRIKA KUSINI"

Post a Comment