TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15

TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15 - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15
kiungo : TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15

soma pia


TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15


Hussein Ndubikie
Mwambawahabari
Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU) imesema ifikapo Agosti 15 mwaka huu saa sita usiku utakuwa mwisho wa udahili wa wanafunzi wanaotarajia kujiunga masomo ya welimu ya juu ya mwaka 2018/19 huku likibainisha awamu ya pili ya udahili itaanza Septema 3 mwaka huu.

Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es Salaam na Mtendaji Mkuu wa tume hiyo,Profesa Charles Kihampa wakati akitoa taarifa kwa wanahabari.

Amesema awamu ya kwanza udahili ilifunguliwa Julai 20 mwaka huu  ukihusisha wanafunzi waliomaliza kidato cha sita, wenye Astashahada na Waombaji wenye vyeti vya nje ya nchi huku akisisitiza udahili wa maombi ulifanyika kwa njia ya mtandao.

“ Waombaji walipaswa kutuma maombi moja kwa moja kwenye vyuo wanavyovipenda jinsi ya kuomba maelekezo yote yapo kwenye vyuo husika waalivyoomba,” amesema.

Amesisitiza wenye vyeti vya nje wanatakiwa kuwasilisha vyeti vyao Baraza la Taifa la Mitihani (NECTA), Baraza la Taifa la Mafunzo ya Ufundi (NACTE).

Amefafanua kuwa baada ya awamu ya kwanza ya udahli kufungwa vyuo vitaanza kuchakata majina ya waombaji.

Amengeza kuwa waombaji ambao watachaguliwa zaidi ya chuo kimoja watapigwa simu au kutumiwa ujumbe wa siri watakaotumia kuchagua chuo wanachokitaka.

Katika hatua nyingine, amesema TCU haihusiki kuwapeleka wanafunzi vyuoni bali vyuo husika ndio huwadahili kupitia Bodi za vyuo.


Hivyo makala TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15

yaani makala yote TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tcu-kusitisha-udahili-wa-awamu-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCU kusitisha udahili wa awamu ya kwanza wanafunzi elimu ya juu Agosti 15"

Post a Comment