TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA

TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA
kiungo : TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA

soma pia


TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia) na Kamishna Jerenali wa Zimamoto, Thobias Andengenye wakisikiliza maelezo kutoka kwa ofisa Mwamdamizi wa Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mabel Masasi juu ya huduma za anuani za makazi zinavyoweza kusaidia utoaji haraka wa huduma za zima moto na uokoaji nchuni. Waziri Lugola alikuwa akitembelea mabanda ya maonesho ya wiki ya Zimamoto Nchini, iliyozinduliwa Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni miongoni mwa taasisi za serikali zilizoshiriki katika maonesho ya Wiki ya Zimamoto na Uokoaji kitaifa ambayo inafanyika jijini Dodoma kwa mara ya kwanza nchini.

Lengo kuu la maadhimisho hayo ni kutoa elimu juu ya namna bora ya kuepuka majanga ya moto na kuwawezesha wananchi kuzifahamu vyema shughuli nyiongi zinazofanywa na jeshi hilo ambazo si tu kuzima moto kama inavyofahamika na wananchi wengi lakini ni pamoja na kusaidia katika majanga mbalimbali na ajali.

TCRA kama mdau mkubwa wa zimamoto mbali na kusaidia katika mawasiliano baina ya wananchi na Jeshi la Zimamoto kuwa rahisi na ya bure kwa mujibu wa sheria lakini pia kupitia mradi wao wa anuani za makazi unasaidia Jeshi hilo na wananchi kuweza kufikiwa kirahisi.

Ofisa Mwandamizi Mkuu wa Mawasiliano, Mabekl Masasi alimwambia Waziri Kangi lugola kuwa kupitia anuania za makazi zimeweza kurahisisha jeshi hilo kufika katika maeneo mengi kirahisi kwa kutaja jina la mtaa na namba ya nyumba la eneo husika. 
 Waziri wa Mambi ya Ndani, Kangi Lugola akiuliza jambo katika banda hilo la TCRA 
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia) na Kamishna Jerenali wa Zimamoto, Thobias Ndengenye wakisikiliza maelezo kutoka kwa maofisa wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) juu ya huduma za anuani za makazi zinavyoweza kusaidia utoaji haraka wa huduma za zima moto na uokoaji nchuni. Waziri Lugola alikuwa akitembelea mabanda ya maonesho ya Siku ya Zimamoto Nchini, Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma jana.
Wananchi na maofisa mbalimbali wa Jeshi la Zimamoto wakiwa katika Banda la TCRA kupata vipeperushi na maelezo mbalimbali ya kazi za taasisi hiyo.


Hivyo makala TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA

yaani makala yote TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/tcra-yashiriki-vyema-wiki-ya-zimamoto.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "TCRA YASHIRIKI VYEMA WIKI YA ZIMAMOTO DODOMA"

Post a Comment