title : SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR.
kiungo : SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR.
SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR.
Kuhusu BROKEN HEART: Hakuamini mahusiano yake na mtu aliyempenda yaishe kwa yeye kudumbukizwa kwenye dimbwi la msongo wa mawazo, aliyempenda aligeuka kuwa adui.
'Mapenzi ni kitu ambacho kinaweza kukufanya chizi, sihitaji tena mwanaume maishani mwangu.' Alizungumza.
Lakini maisha ni safari, na akiwa katika safari ya maisha alijikuta akizama kimapenzi kwa mwanaume mwingine, mwanaume aliyedhani ni tofauti na waliopita.
'Mapenzi ni kitu ambacho kinaweza kukufanya chizi, sihitaji tena mwanaume maishani mwangu.' Alizungumza.
Lakini maisha ni safari, na akiwa katika safari ya maisha alijikuta akizama kimapenzi kwa mwanaume mwingine, mwanaume aliyedhani ni tofauti na waliopita.
Shilole A.K.A Shishi Baby Kulia akiwa pamoja na Jackson Fute kuzindua rasmi riwaya waliyoandika pamoja inayokwenda kwa jina la Broken Heart, uzinduzi huo ulifanywa ndani ya Duka la vitabu la Mak Books and Brains Mlimani City Jijini Dar es Salaam.
Bwana Jackson Fute (Kushoto) akiongea na waandishi wa Habari Mara baada ya kuzindua riwaya waliyo andika na Shilole.
Msanii maarufu wa Muziki wa kizazi kipya Bongo Fleva, Bongo Movie na sasa Mtunzi wa vitabu Bi. Zena Yusuf Mohamed Maarufu kwa jina la Shishi Baby, akielezea kwa ufupi namna alivyopata wazo la kuandika Riwaya ya Broken Heart kuwa inalenga historia yake ya kweli kabisa na kuongeza kuwa amefurahi kumshirikisha mwandishi chipukizi Bw. Jackson Fute na kazi imeenda vizuri. pia aliwaomba watanzania wamuunge mkono kwani kitabu kinauzwa kwa Tsh 15,000 tu na Online Ebook ni Tsh 3,000 kinapatikana kote Duniani. Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Hivyo makala SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR.
yaani makala yote SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR. mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/shilole-na-fute-wazindua-rasmi-riwaya.html
0 Response to "SHILOLE NA FUTE WAZINDUA RASMI RIWAYA YAO YA BROKEN HEART NDANI YA DUKA LA VITABU LA MAK BOOKS AND BRAINS MLIMANI CITY DAR."
Post a Comment