SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA

SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA
kiungo : SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA

soma pia


SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA


Waziri wa Madini Dotto Biteko juzi kulia ni Mkuu wa wilaya ya Muheza,Mhandisi Mwanasha Tumbo

SERIKALI imesema kuwa itafanya mchakato wa kuleta wataalamu wa utafiti wa miamba(GST),maliasili na mazingira kwa pamoja katika kata ya Mbomole tarafa ya Amani ili kuweza kuona uwezekano wa kuwaruhusu wananchi na wachimbaji wadogowadogo kuchimba madini katika eneo hilo.

Hayo yamesemwa na Naibu waziri wa Madini Dotto Biteko alipotembelea katika kijiji cha Sakale katika kata hiyo wakati akizungumza na wananchi waliomuelezea kero yao ya kuzuiwa na serikali kutokuchimba madini eneo hilo licha ya kuwatokuwepo na viashiria vya uharibifu wa mazingira na misitu kama serikali inavyosema.

Wakizungumza kijijini hapo wananchi hao walimueleza naibu waziri huyo kuwa madini katika eneo hilo yaligunduliwa mwaka 2013 na ni mengi yanapatikana kwenye miamba na siyo kwenye chanzo cha mto kama serikali inavyosema lakini walizuiwa kwa tahadhari ya uharibifu wa mazingira na misitu ya asili.

 
NAIBU Waziri wa Madini Dotto Biteko kushoto akimsikiliza Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja ya kutembelea Hifadhi ya Amani 
 
NAIBU Waziri wa Madini Dotto Biteko kulia akimsikiliza kwa umakini Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu wakati wa ziara yake ya siku moja 

NAIBU Waziri wa Madini Dotto Biteko kulia akiwa na Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu na Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo wakati wa ziara yake ya siku moja wilayanu humo 
MBUNGE wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu kulia akisistiza jambo wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Madini Dotto Biteko kushoto katikati ni Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo 
Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu akizungumza na wananchi wa kijiji cha Sakale katika kata Mbomole Tarafa ya Amani wilayani Muheza wakati wa ziara ya Naibu.KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>


Hivyo makala SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA

yaani makala yote SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/serikali-kupeleka-wataalamu-wa-utafiti.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "SERIKALI KUPELEKA WATAALAMU WA UTAFITI WA MIAMBA(GST),MALIASILI NA MAZINGIRA AMANI MUHEZA"

Post a Comment