title : MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI
kiungo : MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI
MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI
Bw. Salim Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa huku wakionyesha vyeti vyao baada ya kukabidhiwa vyeti hivyo vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi leo mjini Iringa.
Madiwani hao wa kata 5 za manispaa ya Iringa Awali zilikuwa chini ya Utawala wa CHADEMA baada ya kujiuzuru nafasi zao za udiwania kupitia chama hicho CCM iliwateua tena kugombea katika uchaguzi wa marudio ambapo madiwani hao wameibuka washindi katika uchaguzi huo.
Bw. Salim Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwapongeza madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi leo mjini Iringa.
Bw. Salim Abri (ASAS) MNEC wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Iringa akiwa katika picha ya pamoja na madiwani wa CCM walioshinda katika uchaguzi wa marudio Kata tano katika manispaa ya Iringa baada ya kukabidhiwa vyeti vyao vya uteuzi na Tume ya Uchaguzi leo mjini Iringa na baadhi ya wabunge wa viti maalum CCM mkoa wa Iringa
Hivyo makala MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI
yaani makala yote MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/mnec-salim-asas-awapongeza-madiwani-wa.html
0 Response to "MNEC SALIM ASAS AWAPONGEZA MADIWANI WA CCM WALIOSHINDA UCHAGUZI KATA 5 ZILIZOKUWA CHINI YA CHADEMA IRINGA MJINI"
Post a Comment