title : ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI
kiungo : ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI
ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI
MAGARI matatu yamegongana katikati ya barabara ya Kilwa katika mtaa wa Misheni karibu na njiapanda ya kwenda mtoni kijichi ambayo imesababisha foleni kubwa katika barabara hiyo.
Magari hayo ni pamoja na Roli la kubeba mzigo lenye namba za usajili T 273 BMW lilikuw likitokea Mtongani na kuziba barabara hiyo ya Kilwa, gari dogo la kubebea mizigo lenye namba za usajili T361 CZQ ambalo ambalo limeingia mtaroni na gari dogo aina ya Toyota lenye namba za usajili T 743 APD, lipo pembezoni mwa lori.
Inasemekana ajali hiyo imetokea pale ambapo roli la kubebea mizingo lilikwepa ndia na kugongana na magari hayo mawili kwa wakati mmoja.
Katika ajali hiyo hakuna binadamu aliyepata madhara.
Ajari imetokea usiku huu katika barabara ya Kilwa mtaa wa Misheni karibu na njiapanda ya Mtoni Kijichi Temeke jijini Dar es Salaam leo majira ya saa tatu usiku.Ajari hiyo imehusisha magari matatu ambayo ni Roli la kubeba mizigo, gari dogo aina ya Toyota pamoja na gari dogo la kubebea mizigo.
Gari la kubebea mizigo likiwa kwenye mtaro wa barabara ya Kilwa.
Ajali hiyo ikiwa imesababisha foleni kubwa.
Mwonekano wa magari katika eneo la Misheni mara baada ya kupata ajali na kusababisha kuziba barabara inayoelekea maeneo ya Mbagala.
Picha na Avila Kakingo, Globu ya Jamii.
Hivyo makala ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI
yaani makala yote ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/roli-la-kubebea-mizigo-laziba-barabara.html
0 Response to "ROLI LA KUBEBEA MIZIGO LAZIBA BARABARA YA KILWA, LAGONGA MAGARI MAWILI"
Post a Comment