RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA
kiungo : RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

soma pia


RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

Na Ripota Wetu,Globu ya jamii
ALIELYEKUWA Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania Richard Mayongela athibitishwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habar imesema kuwa amethibitishwa kwenye nafasi hiyo  na Kaimu Mkurugenzi wa Railimali na Utawala  Lawrance Thobias wakati wa Mkutano wa Mameneja wa viwanja vya mikoani na Wakuu wa Vitengo mbalimbali vya Mamlaka.

Amefafanua kwa kueleza kwamba  amethibitisha kupokea barua ya uthibitisho huo kutoka kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwele mara baada ya kuona Utendaji wake mzuri katika Mamlaka.

Hivyo kuanzia sasa Mayongela ndio Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya viwanja vya ndege nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania Richard Mayongela


Hivyo makala RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA

yaani makala yote RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/richard-mayongela-athibitishwa-rasmi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RICHARD MAYONGELA ATHIBITISHWA RASMI KUWA MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA"

Post a Comment