Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli

Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli
kiungo : Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli

soma pia


Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli


Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipanda ndege ya Rais tayari kuelekea mjini Harare, Zimbabwe, kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulikwenye kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo Mhe.  Emmerson  Dambudzo Mnangagwa zinazofanyika leo Jumapili Agosti 26, 2018


 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndugu Philip Mangula akiwa na Mwenyekiti wa United Democratic Party (UDP) Mhe. John  Momose Cheyo wakiwa ndani ya ndege ya Rais kabla ya kuondoka kuelekea mjini Harare, Zimbabwe, kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa nchi hiyo Mhe.  Emmerson Dambudzo Mnangagwa  zinazofanyika leo Jumapili Agosti 26, 2018. Katika safari hiyo viongozi hao wanafuatana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo pichani) ambaye atamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli


Hivyo makala Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli

yaani makala yote Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-mstaafu-kikwete-aondoka-nchini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Rais Mstaafu Kikwete aondoka nchini kueleka Zimbabwe kumuwakilisha Mhe. Rais Magufuli"

Post a Comment