title : Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19
kiungo : Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19
Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Agosti, 2018 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1, Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji 41, na amewahamisha vituo vya kazi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi wa Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji 19.
Taarifa iliyotolewa leo tarehe 13 Agosti, 2018 na kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi (PICHANI), Ikulu Jijini Dar es Salaam.SOMA ZAIDI HAPA CHINI
Hivyo makala Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19
yaani makala yote Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19 mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-magufuli-afanya-uteuzi-mkuu-wa.html
0 Response to "Rais Magufuli afanya uteuzi Mkuu wa Wilaya 1 na Wakurugenzi 41, ahamisha Wakurugenzi 19"
Post a Comment