title : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
kiungo : RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi Alinikisya Cheyo, aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Frederick Shoo wakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Frederick Shayowakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa watika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Frederick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Frederick Shoo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT Canon Moses Matonya baada ya ujumbe wa viongozi hao kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/rais-dkt-magufuli-akutana-na-viongozi.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA (CCT) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment