BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI

BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI - Hallo rafiki WORLD MAELEZO LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala biashara, makala general, makala hobby, makala karibuni info, makala michezo, makala siasa, makala utamaduni, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI
kiungo : BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI

soma pia


BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI


Zikiwa zimepita siku nne tangu wakali wawili wa hip hop Bongo wanaounda kundi la ROSTAM, Roma Mkatoliki na Stamina kuachia wimbo wao mpya wa ‘PARAPANDA’ wakivaa uhusika wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Kingunge Ngombaremwiru, wawili hao wameitwa katika ofisi za Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo Agosti 6, 2018 kupigwa msasa wa sheria na kanuni mpya za Baraza hilo.

Mkurugenzi Mtendaji wa BASATA, Godfrey Mngereza amethibitisha taarifa hizo ambapo amedai kuwa Roma na Stamina wameitwa kwa lengo la kujadili kanuni mpya huku akieleza kuwa sio jambo la kushangaza kwani wao ni kama nyumba ya wasanii.

“Ni kweli wamekuja BASATA, na kimsingi hapa ni nyumbani kwao, kama wasanii wengine hapa ni nyumbani kwao na leo tulikuwa tunapitia kanuni na kama kutakuwa na jipya basi tutafahamishana,“ amesema Mngereza na kusisitiza kuwa endapo kutakuwa na jambo lingine BASATA watatoa taarifa zaidi baadae.

Wiki iliyopita Roma Mkatoliki na Stamina waliachia ngoma yao mpya ya ‘PARAPANDA’ ngoma ambayo kwenye baadhi ya mistari kuna sehemu inasema “ROMA – Kwani anayesimamia sanaa ni nani?… STAMINA anajibu- Lipo Baraza ila wasanii wanaishi uwani.“


Hivyo makala BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI

yaani makala yote BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI mahali kiungo https://wordmaelezo.blogspot.com/2018/08/basata-yatoa-ufafanuzi-wimbo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "BASATA YATOA UFAFANUZI WIMBO WA PARAPANDA WASANII WAWILI"

Post a Comment